Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu msaada nyimbo hizi za Kikosi cha Mizinga...

1. Wabishi Wa Dar es Salam

2. Ukisanda unaacha game...

Feel The Vibez Broh. Thanks.
 

Attachments

Wakali naomba wimbo wa Alikufa kwa ngoma wa Mwana FA...
 
Guys msaada wa Zey B ft Inspector Haroun - Nipo gado.
Sio ile nipo gado remix ya Zey B na Nature maana kila nikiitafuta hiyo ya Zey B na Inspector napata ya Zey B na Nature tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Mariana. Wimbo fulani wa kimakonde zamani sana.
Pia wimbo wa kila munu ave na kwao, toleo la kwanza kabisa kabla hazijaja remix 1 2 3 na 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi natafuta wimbo wa banza stone wa simba anaunguruma. Mwenye kunisaidia niipate nitafurahi

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Back
Top Bottom