Asante mkuu ubarikiwe sanaUnamaanisha huu mkuu...?
Hiyo ngoma inaitwa Swing Swing yao Kleptomaniax kutoka Kenya iliyokuwa na wanamuziki Nyanshinski,Collo na Roba...kuna wimbo flan ckumbuk ni wa nan... ila ulikuwa
" mr. dj mr dj mr dj twende kazi sasaa...
swing swing muziki ni bombaa bombaaa tenasaki...."
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenye namba ya rama d anipatie wakuu, kuna nyimbo yake nataka anipatie jina.
wakuu naomba wimbo wa marlaw na chid, bado umenuna na nyimbo nyingine za marlaw
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wimbo flan ckumbuk ni wa nan... ila ulikuwa
" mr. dj mr dj mr dj twende kazi sasaa...
swing swing muziki ni bombaa bombaaa tenasaki...."
Sent using Jamii Forums mobile app
1-Tina by fresh p ft nature
2-Beibe beibeee Nakupenda by John woka
3-Mganga wa mtoni by Bonta
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mwenye wimbo wa Matonya ft Christian Bella & Nelee_ Angwelina audio nauomba