Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
mwenye namba ya rama d anipatie wakuu, kuna nyimbo yake nataka anipatie jina.
 

Attachments

Wakuu sana kuna ngoma aliimba banza stone na kundi lake, siijui jina lakini hapa chini na baadhi ya maneno kwenye hiyo ngoma.

I love you sweet baby, i need you sweet baby.
Nakupenda kwa dhati sweet baby, kwa uvumilivu wako ulionao.

Verse
Tulipoanza tulipata taabu, hatukujali maneno ya watu, kwani maneno yalitupotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom