Attachments

Mkuu asante sana asante sana.
Tafadhali nisaidie na hizo mbili hapo za afande sere.
Kwavyovyote.(ipo kwenye album ya darubini kali.)
Umenitosa dogo dito.(ipo kwenye album ya darubini kali.)
 

Attachments

Kuna mchiz mmoja wa morogoro anaitwa master bross aliimba;
1-Nakupnda uwe wng kifaa
2-Sitaki Tena
Kitambo xnaaa.Mwenye anazo hz please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

Weka hayo mashairi ya huo wimbo hapa wadau watakusaidia.

Ahsante.
unaitwa "bila yako wee siwezi kufanya chochote" kiitikio kaimba rama d, naukubali sana mkuu, nfanyie maarifa niupate thanks in advance.
 
Mwenye nyimbo ya

Saida kaloli ft benjamini mambo jambo_ikitobero rmx

Wachuja nafaka ft KR_ mzee wa busara rmx

Gangwe Mobb_ajira

GWM_mikosi

Tafadhali naiomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye nyimbo ile ya mkongo flani anaimba kama bella, niliambiwa nyimbo inaitwa 'khate kama sio khata' nimetafuta sijapata... Anaeipata plz
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Mnisaidie wimbo wa nuruel nadhan yupo na joslin siujui jina najua tu lyrics zake
"Narudi nyumbani Nyumbani"
"Nikupigie na hadithi tukiongeaga niwaone wewe na wanangu mkinipokeaga"
Kwa mjuzi wa nyimbo za hapa home nadhan atansaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…