Mim natafuta wimbo wa kwenye tangazo la tusker lager, sijui aliimba T.I.D ukiachana na ile version ya wakenya. Unaimbwa
"Kama ni kufananisha..... kama jabari
Hatuteterekii, hatusambaratiki...
Twende pamojaaaa, bega kwa begaaaa

Marafiiiiiki halisi....."
 
Naomba nyimbo xote za Pasha na masanja mkandamizaji za bongo fleva (zisiwe kwaya)

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Wakuu mi natafuta nyimbo ya (Wana Ikibinda Nkoi) Diamond Sound ya mwanzoni kabisa ile wanataja club na hoteli kali za mikoa karibu yote ya Bongoland.... Hiyo na nyingine za hao hao wakali kina Allan Kashama Mulumba na crew yake
 
KIOO na barafu please wakuu shusheni tracks za JKT taarabu enzi zile,kama file Donda,njiwa peleka salamu,jamani mapenzi etc
 
sowers group -amen


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna kweli mwenye nyimbo zilizotengenezwa na Producer Lamar pale FishCrab Audio Production? [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo, ila ni nyingi sana. Unadhani tutaweka ngapi? Ni sawa na kuomba nyimbo zote za P Funk ana MJ Records, nani anaweza ku upload zote man? We omba wimbo husika, sisi tunarusha hapa. NUKTA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…