Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skia kuna collabo moja hivi ya HipHop aliitengeneza ya wasanii kibao nakumbuka yumo na Stamina ila siikumbuki jina ani maana kitambo nmeipoteza..Zipo, ila ni nyingi sana. Unadhani tutaweka ngapi? Ni sawa na kuomba nyimbo zote za P Funk ana MJ Records, nani anaweza ku upload zote man? We omba wimbo husika, sisi tunarusha hapa. NUKTA.
Skia kuna collabo moja hivi ya HipHop aliitengeneza ya wasanii kibao nakumbuka yumo na Stamina ila siikumbuki jina ani maana kitambo nmeipoteza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kijamaica? Kelvin little-Not no go so??au?Wimbo mmoja ulipigwa nikiwa strippers club nimelewa chaakari enzi hizo nikiwa kijana. Huwa nauwaza sana ila siukumbuki jina zaidi na-na-na-na... Ulinifanya nikasokomeza laki nzima ndani ya P ya stipper huku watu wananishangilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetisha sana! Tuma hapa kama hutojali...Inaitwa 'the cypher' ft
Adam mchomvu
Niki wa pili
Stamina
Country boy
Godzilla
Babuu wa kitaa
Cliff mitindo
Fid Q
Prod by lamar
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta nyimbo ya Q chief ft Dataz-Natawala,mwenyewe nayo aitume [emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu naomba wimbo wa alicom moyo.
Hakuna kweli mwenye nyimbo zilizotengenezwa na Producer Lamar pale FishCrab Audio Production? [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Skia kuna collabo moja hivi ya HipHop aliitengeneza ya wasanii kibao nakumbuka yumo na Stamina ila siikumbuki jina ani maana kitambo nmeipoteza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Asante sana mkuu.Niliweka kwenye posts za nyuma. Lakini ngoja niuweke tu. Enjoy
Kuna nyimbo kutoka nadhani kenya,inaimbwa
Baby boy napokwona natabasam,alafu vidio yake kuna mdada anachezacheza ana matako makubwa hivi...ni ya muda kidogo...naitafuta hata mp 3 naihitaji wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nafurai daadek...asante sana...Anaitwa Besta mke wa marlaw aliitengenezea kenya inaitwa baby boy
Sent using Jamii Forums mobile app