Wimbo wa Stive Kabuya (stive kafaya) -moyo wangu unakupenda sana,ukitabasamu jua linawakaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zipo, ila ni nyingi sana. Unadhani tutaweka ngapi? Ni sawa na kuomba nyimbo zote za P Funk ana MJ Records, nani anaweza ku upload zote man? We omba wimbo husika, sisi tunarusha hapa. NUKTA.
Skia kuna collabo moja hivi ya HipHop aliitengeneza ya wasanii kibao nakumbuka yumo na Stamina ila siikumbuki jina ani maana kitambo nmeipoteza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa 'the cypher' ft
Adam mchomvu
Niki wa pili
Stamina
Country boy
Godzilla
Babuu wa kitaa
Cliff mitindo
Fid Q

Prod by lamar
Skia kuna collabo moja hivi ya HipHop aliitengeneza ya wasanii kibao nakumbuka yumo na Stamina ila siikumbuki jina ani maana kitambo nmeipoteza..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Kuna nyimbo kutoka nadhani kenya,inaimbwa


Baby boy napokwona natabasam,alafu vidio yake kuna mdada anachezacheza ana matako makubwa hivi...ni ya muda kidogo...naitafuta hata mp 3 naihitaji wakuu
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…