Naomba
Reason to hate ya DJ felifeli ft wiz khalifa & tyga.
Nimebidi nimkomalie bana, basata walishaitoa kule halafu ninahitaji haahah vipi lakini leo kwenye lindo uje na gombaHahahha aisee
Hahaha poa poa mzee ntakuja nalo mzee babaNimebidi nimkomalie bana, basata walishaitoa kule halafu ninahitaji haahah vipi lakini leo kwenye lindo uje na gomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebidi nimkomalie bana, basata walishaitoa kule halafu ninahitaji haahah vipi lakini leo kwenye lindo uje na gomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha poa poa mzee ntakuja nalo mzee baba
Hahaha ndio broHahahahah.
Daaah, nyie jamaa kumbe waarabu wa pemba aisee.
Haya bhana.
Wakuu kuna ngoma moja ya kitambo sjui inaitwaje ila kuna mstari unasema MACHIZI WANATAZAMA KWA MACHO YA WIZI MAMA.
Hebu wadau nisaidieni hii ngoma aisee.
UNAITWA NIAMINI WA PROFFESOR J FT HARDBLASTERS
ULE NI ORIGINAL VERSION
Sent using Jamii Forums mobile app
SORRY MKUU NI KWELI NILIJICHANGANYA ILA HIYO MISTARI IPO VERSE YA KWANZA YA WIMBO WA ASALI WA MOYO WA INSPECTOR HAROUN ORIGINAL VERSIONHapana huo najua sio huo kiongozi.
SORRY MKUU NI KWELI NILIJICHANGANYA ILA HIYO MISTARI IPO VERSE YA KWANZA YA WIMBO WA ASALI WA MOYO WA INSPECTOR HAROUN ORIGINAL VERSION
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kuna ngoma moja ya kitambo sjui inaitwaje ila kuna mstari unasema MACHIZI WANATAZAMA KWA MACHO YA WIZI MAMA.
Hebu wadau nisaidieni hii ngoma aisee.