Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kuna ngoma moja ya kitambo sjui inaitwaje ila kuna mstari unasema MACHIZI WANATAZAMA KWA MACHO YA WIZI MAMA.

Hebu wadau nisaidieni hii ngoma aisee.
 
Saigoni -- Naomba nisamehe...

Nautafuta huu wimbo kwa mtu aliyekua nao


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom