Hebu tupe japo mistari mingine au chochote ambacho kitafanya mtu akumbuke kwa urahisi mkuu.

Well, huyo mshkaji ameshirikishwa huko ndani verse ya mwisho mkuu. Ni ngoma ya wadada ila mshkaji mwisho kachana kwenye mistari anasema MACHIZI WANATAZAMA KWA MACHO YA WIZI MAMA.

Yaani nakumbuka mstari huo tu mkuu. Ila bonge ya ngoma ya kitambo bro.

Help me please.
 

Huo mstari kama unanijia unaondoka hivi. Wadada wa zamani ukiacha Unique Sisters kuna nani wengine.

Nadhani itakuwa hao kuna ngoma walimshirikisha Hasheem Dogo.

Ngoja nikuchekie ndugu.
 
Huo mstari kama unanijia unaondoka hivi. Wadada wa zamani ukiacha Unique Sisters kuna nani wengine.

Nadhani itakuwa hao kuna ngoma walimshirikisha Hasheem Dogo.

Ngoja nikuchekie ndugu.

Thanks a lot fanya hivyo kiongozi.
 
Ipo tayari wakuu. Post za juu.
Imeandikwa KIJONGOLE

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sio tuliomaanisha, uliowekwa hapo ni wa Juma Bhalo wakati sisi tunaoutaka ni wa Chezimba band

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Daaah, umenikumbusha mbali sana mkuu.

Kuna ngoma mtu unazo lakini hujui hata kama unazo aisee. Unakuta ngoma hujaskiliza kitambo sio.

Hii hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.

Ee bwana Eeee.

Mnyamwezi umetisha mbaya aisee. JF tukiwa na watu kama nyie raha sana mkuu.

Thanks a lot bro. Salute.
 
Natafuta wimbo wa Chhimbeni Kheri unaitwa Zanzibar

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Natafuta kuna wimbo was kutambo unaitwa ngoma inogile sikumbuki wameimba kundi gani sijui nimesahau inaimbwa hivi sijaiona ngoma unogile kama ino×2 so hii ni ngo ngo ngoma inogile kama ino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…