KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Saigoni -- Naomba nisamehe...
Nautafuta huu wimbo kwa mtu aliyekua nao
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saigoni -- Naomba nisamehe...
Nautafuta huu wimbo kwa mtu aliyekua nao
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hebu tupe japo mistari mingine au chochote ambacho kitafanya mtu akumbuke kwa urahisi mkuu.
Well, huyo mshkaji ameshirikishwa huko ndani verse ya mwisho mkuu. Ni ngoma ya wadada ila mshkaji mwisho kachana kwenye mistari anasema MACHIZI WANATAZAMA KWA MACHO YA WIZI MAMA.
Yaani nakumbuka mstari huo tu mkuu. Ila bonge ya ngoma ya kitambo bro.
Help me please.
Huo mstari kama unanijia unaondoka hivi. Wadada wa zamani ukiacha Unique Sisters kuna nani wengine.
Nadhani itakuwa hao kuna ngoma walimshirikisha Hasheem Dogo.
Ngoja nikuchekie ndugu.
Huo sio tuliomaanisha, uliowekwa hapo ni wa Juma Bhalo wakati sisi tunaoutaka ni wa Chezimba band
Thanks a lot fanya hivyo kiongozi.
Thanks a lot fanya hivyo kiongozi.
Daaah, umenikumbusha mbali sana mkuu.
Kuna ngoma mtu unazo lakini hujui hata kama unazo aisee. Unakuta ngoma hujaskiliza kitambo sio.
Hii hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.
Ee bwana Eeee.
Mnyamwezi umetisha mbaya aisee. JF tukiwa na wote kama nyie raha sana mkuu.
Thanks a lot bro. Salute.
Asante mkuu ubarikiweHuyu jamaa anaitwa Kibisa ndio aliyekuwa anaelezewa humu ndani kwenye hiyo story mkuu. Ila wimbo unaitwa Kazeze.
Niaje mwanangu!!Mi sio Mnyamwezi ni Mzaramo bhana. Ila thanks by the way.
Karibu sana aisee.