naomba mwenye nyimbo hi
1.afande sele f.t nash g na dito na bizman umeondoka rmx hii nyimbo ipo kwenye album ya darubin kali kama sijakosea
2.malik nyimbo inaitwa my fellow ni raggetone flan ya mshikaj mmoja wa mwanza baadhi ya mistar inaimba sina niambaya nikubalie wewe mzur sana niangalie
2.abuu v.i.p nyimbo flan ya kitambo ya dogo mmoja hv alikuw anachana kama mr bluu baadhii ya mistar inaimba mimi tu ndo nataka kuwa na ww japo baby ww hutaki kuwa nami ni soo ooh mamy girl njoo v.i.p uone navyo flow
3.kimweli jina la nyimbo nimelisahau ila jamaa anaimba kama analia anazungumzia kuwa kuna mtu anamdai milion tatu anakubali den na kuhaid atakuw ana mlipa mia tatu