Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta kuna wimbo was kutambo unaitwa ngoma inogile sikumbuki wameimba kundi gani sijui nimesahau inaimbwa hivi sijaiona ngoma unogile kama ino×2 so hii ni ngo ngo ngoma inogile kama ino
Zig zag crew

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
naomba mwenye nyimbo hi
1.afande sele f.t nash g na dito na bizman umeondoka rmx hii nyimbo ipo kwenye album ya darubin kali kama sijakosea
2.malik nyimbo inaitwa my fellow ni raggetone flan ya mshikaj mmoja wa mwanza baadhi ya mistar inaimba sina niambaya nikubalie wewe mzur sana niangalie
2.abuu v.i.p nyimbo flan ya kitambo ya dogo mmoja hv alikuw anachana kama mr bluu baadhii ya mistar inaimba mimi tu ndo nataka kuwa na ww japo baby ww hutaki kuwa nami ni soo ooh mamy girl njoo v.i.p uone navyo flow
3.kimweli jina la nyimbo nimelisahau ila jamaa anaimba kama analia anazungumzia kuwa kuna mtu anamdai milion tatu anakubali den na kuhaid atakuw ana mlipa mia tatu
 
4.parapanda arts tufungulie wimbo huu uliimbwa maalumu kwa watoto wa makete ambao wazaz wao wamekufa na ukimwi
natanguliza shukran
 
Mkuu KIOO kuna ngoma hii USIJE MJINI lakini ikiwa katika MNANDA!!

Nafikiri ni JAGUAR waliimba au Omary Omary!

By tha way naomba nyimbo za Omary Omary kama utabahatika kuzipata mtu wangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar za saa wakuu.

Naomba hii ngoma yenye mistari hii
"Najiuliza hili swali sipati jibu kamili
Waliongea wabongo kimombo kiswahili"

Dude litakuwa linaitwa kimombo kiswahili
Ni la kitambo kidogo.

Shukran.

Gwankaja
Kioo
Idimi
Na woteeee.
 
Kiswaenglish jina lake nafikiri ni kundi la Wakilisha Marehemu Langa na wale wa Dada wawili... moja kibonge mwepec nmesahau majina yao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom