Jamani msinichoke mwenzenu nimerudi tena naomba hizi nyimbo
1.Picco_______Mapenzi hamna tena
Mistari yake iko hivi 👉👉👉👉👉👉mapenzi hamna nasema hamna tena kuna wakati matamu saa zingine machungu hiyo ni chorus.
2.Mwana fa ft nuruelly sijajua jina la wimbo kwenye mistari Fa Anasema sijiviki ubabe kama fala wa manzese nurruelly anaitikia nalia machoozi si ndumba mwenye nazo pls tusaidiane natanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…