Kuna wimbo unaitwa "Kifo hicho hakikimbiliki" huwa unapigwa sana na radio maria.

Pia naomba wimbo unaitwa "Sikutaka" umeimbwa na unique Sisters wakiwa peke yao siyo ule waloimba na dudu baya

Pia naomba wimbo Wa Daz Nundaz unaitwa "Kioo" na mwingine unaitwa "Kiama"
 
Kuna wimbo fulan wa Noorah kama anabishana na mwenzake nimeusahau jina nauomba kwa anaekumbuka jina la.wimbo atuwekee
 

Attachments

 

Attachments

Grace matata = wimbo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tenzi nzuri ajaaabu
Maneno ya dhaaahabu
Na sipati tabu
Fumbo na jaaawabu...

Moja kati ya ngoma nnazozipenda sana toka kwa Grace. Nice song.

Ana wimbo mwingine unaitwa Utanifaa na Free Soul.

Safi sana.
 

Attachments

Tenzi nzuri ajaaabu
Maneno ya dhaaahabu
Na sipati tabu
Fumbo na jaaawabu...

Moja kati ya ngoma nnazozipenda sana toka kwa Grace. Nice song.

Ana wimbo mwingine unaitwa Utanifaa na Free Soul.

Safi sana.

Mkuu kuna utanifaa original version kama unayo naomba unisaidie please.
 

Daaah umetisha sana aisee. Jumapili yangu itaenda murua sana mkuu.

Ahsante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…