Samahani sana.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Nitumieni wimbo wa Mwanza, by Diamond Platnums
Natafuta nyimbo mbili za Joh Makini zilikuwa released kati ya 2006 na 2007 ila sio Manuva na Chochote popote. ....moja ina mstari unasema "ero subai, yeyo takwenya"
"Niko mikononi mwa polisi bado maisha yangu Ni mikosi, afandeeeeeee × 4"
Sugu_mikononi mwa polisi.
TBT
Habar wakuu naomba hilo li nyundo tafadhali.
Pamoja sana.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Sos B wa maa B, kukurukakara zako wewe zitakuponza brither sister......Samahani sana.
Mimi natafuta Video za hizi nyimbo hata kwa gharama.
1. Kukurukakara zao ya SOS B
2. nikizipata ya Elluka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sos B wa maa B, kukurukakara zako wewe zitakuponza brither sister......
Ukiwakuta wapeleke mchakamchaka.....
Makonda hivi ni kwanini aaah kwani hivi ni kwanini..........
Mkuu ukiupata huu nitag.
Pia kuna ule wa GWM cheza mbali na Kasheshe ukiupata nitag pia
CC. KIOO
Sent using Jamii Forums mobile app