Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wapendwa Mimi natafuta wa MZEE wa busara uli original wa Kr Murray aliyokuwepo pia mwimbo wa Neck breakers ule wa kwanza kabla ya nataka niseme tuu, sikumbuki jina napenda sana
 
Attachments

Kuna nyimbo mbili natafuta moja ya kingwendu=maharge mboga ya matunda
Na ya msanii mmoja hivi anaitwa kama sikosei jina lake ni shomi dee nyimbo zake zote kama zipo alikuwa anaimba na kina dani msimamo na kuna mwingine anaimba hivi aishaee raha ya mechi baoo sijui ni kaka man sina hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani utakuwa umepata hitaji la moyo wako kiongozi.

Feel The Vibez Bro.
Respect bro!
Barikiwa sana, ngoja sasa niwatambie maghetoni kwa huu msongi wa ukweli!! Kipindi hicho huu mziki unatamba kulikuwa kuna WAHUNI wa kweli.

Sio kama sasa yaani WAHUNI wameisha kabisaa mtaani wamebaki MABITOZ na mateja tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ni sumu imeimbwa na B-shop Ben bahati

Heri Uzee
kuliko uzembe.
 
Respect bro!
Barikiwa sana, ngoja sasa niwatambie maghetoni kwa huu msongi wa ukweli!! Kipindi hicho huu mziki unatamba kulikuwa kuna WAHUNI wa kweli.

Sio kama sasa yaani WAHUNI wameisha kabisaa mtaani wamebaki MABITOZ na mateja tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Salute sana mkuu wangu.

Thanks.
 
Back
Top Bottom