Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hivi nyimbo ya USIJE MJINI toleo la mnanda by JUMA MPOGO imeshikana humu!?
Kwa hisani yenu wadau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naombeni nyimbo za Sofia George ambazo zilitamba sana miaka ya kuanzia 93 kuja mbele...nimezitafuta bila mafanikio.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Respect bro!Nadhani utakuwa umepata hitaji la moyo wako kiongozi.
Feel The Vibez Bro.
Mkuu Kioo kuna nyimbo inaitwa Kinyago msela naomba nichekie please!!Nadhani utakuwa umepata hitaji la moyo wako kiongozi.
Feel The Vibez Bro.
Ni #Kioo Cha Jamii.
Jay moe ft solo thang & q chief kama unataka demukama unataka demu, unataka aweje aweje..
JMo ft nurah, ila sina uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ni kioo kweli kweli,,much respect bro
Respect bro!
Barikiwa sana, ngoja sasa niwatambie maghetoni kwa huu msongi wa ukweli!! Kipindi hicho huu mziki unatamba kulikuwa kuna WAHUNI wa kweli.
Sio kama sasa yaani WAHUNI wameisha kabisaa mtaani wamebaki MABITOZ na mateja tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kama unataka demu, unataka aweje aweje..
JMo ft nurah, ila sina uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app