AlmasMAlmas
Member
- Jun 24, 2017
- 33
- 25
Bro upo kwenye game ya hiphop kumbe??ukitoa hyo ngoma ya unataman kuna ngoma gan zngine tena,nmesikiliza uko vzr sana broHahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.
Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo wanatamani kuwa hivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.
Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.
Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.
Usiombe kuwa Msanii, utateseka sanaaa~Madee feat T.I.D.
Bro upo kwenye game ya hiphop kumbe??ukitoa hyo ngoma ya unataman kuna ngoma gan zngine tena,nmesikiliza uko vzr sana bro
Much respect bro
Hahah nmemsikia,brother yupo vizuri sana,sikuwahi kufikilia kama atakuwa ana nata na beat kiasi hicho
Nimeweka replay kwa makini kbs ili nimwelewe zaidi.Hahah nmemsikia,brother yupo vizuri sana,sikuwahi kufikilia kama atakuwa ana nata na beat kiasi hicho
Hahaha wewe tena,,hope atafanya hivyo ngoja tusubiriNimeweka replay kwa makini kbs ili nimwelewe zaidi.
Ss afanye mpango atupe na zingine tuendelee nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe tena,,hope atafanya hivyo ngoja tusubiri
Hahaha wallah sijamaansha hvyo,,unapenda mziki wa hiphop,,
Za wakazi nnazo zote.Hahaha wallah sijamaansha hvyo,,unapenda mziki wa hiphop,,
Leo za ngoma za Wakazi huombii