Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu...kuna beat Moja huwa linapigwa kwenye sherehe za mbele muda wa maharusi wanapoingia kanisani haswa kwenye sherehe za familia za kifalme. Naomba anayejua anipe jina tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.

Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo wanatamani kuwa hivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.

Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.

Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.

Usiombe kuwa Msanii, utateseka sanaaa~Madee feat T.I.D.
Bro upo kwenye game ya hiphop kumbe??ukitoa hyo ngoma ya unataman kuna ngoma gan zngine tena,nmesikiliza uko vzr sana bro

Much respect bro
 
Kuna wimbo wa bongo fleva ander ground wa zamani unaimbwa hivi "Kama uko nami kama uko nae achana nae sio Leo huko nami kesho uko nae siyawezi hasilani" ni wa huzuni flani sijui kaimba nani na jina la wimbo sijui tafadhali naomba mkuu huo wimbo kama utakuwa unaujua please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman msilaleeee.... Kuna wimbo wa juzi kati hpa jamaa aliyeimba simjui ila kachana kingereza na kamshirikisha Ben pol kwe kiitikio baadh ya maneno "you my angel nataka tufurahiiiiiii"........mwenye nayo tupiamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom