Wale sio mapacha jamaa wanaitwa DOLPHIN POSSE...
Dah nilichanganya mkuu nauomba huo
Zimekubaki Ku apload hizo nyimbo
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
UnaTatizo wengine nyimbo tunazo ila tunashindwa kuzituma hapa tunaomba muongozo wa kutuma audio tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwny neno attach filesTatizo wengine nyimbo tunazo ila tunashindwa kuzituma hapa tunaomba muongozo wa kutuma audio tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoandika ujumbe kunamaneno yanakuja km post reply, preview na attach filesMimi nipo app ya jamii forums hilo neno sijaliona labda nijaribu Man's nimeandika haya maneno Kwa chini kuna kama file lina alama ya +
Sent using Jamii Forums mobile app