Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta nyimbo hizi mwenye anazo anisaidie..
!. Kalapina- Asiyekubali kushindwa sio mshindani
2.Tatuu - Penzi la daima
3.Miss sarah - Nikuite jina gani mpenzi
4.Complex - nyimbo imenitoka ina beat flani nzito.

Hiyo ya Complex unamaanisha huu...?
 

Attachments

Attachments

Unaona mambo hayo ss,,
Project ni zetu wapenzi wasikilizaji,barikiwa sana na kwa ngoma ile ya mwanzo nadhani kuna utamu zaidi ktk zijazo[emoji123][emoji123]twasubiri kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks a lot brother,,itapendeza sana kushare nasi hizo ngoma hapa[emoji120][emoji120]

Msijali wakuu wangu.

Napenda mnavyopenda nnachopenda mnakipenda nakipenda pia na tunakipenda na tutakipenda daima coz nacho pia kinatupenda wapendwa.

Much Respekt...!
 
Msijali wakuu wangu.

Napenda mnavyopenda nnachopenda mnakipenda nakipenda pia na tunakipenda na tutakipenda daima coz nacho pia kinatupenda wapendwa.

Much Respekt...!
Thanks too bro,,tunazisubiri hzo ngoma bro
 
Back
Top Bottom