Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Hiviiiiii......... Ukileta ombi la wimbo niutafutao, kama sipati wa kunisaidia, hilo ombi lita expire baada ya muda gani?
 
Inashangaza saana
Unakuta mtu kautafuta wimbo aupendao kwa muda mrefu saana bila mafanikio
Kaenda mitandao mbalimbali bila mafanikio
Afu Leo hii kaingia Jf kitengo cha burudani
Na kuumba huo wimbo alioutafuta muda mrefu
Cha ajabu anapewa bila shida yeyote.
Kiukweli watu wote wangekuwa na mioyo kama ya Hawa jamaa

Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa

Bila shaka wangefika mbaali saana.
Wakuu wangu hapo juu
Mungu awabariki sanaa.


Ijumaa qareem wakuu wangu.
 
Inashangaza saana
Unakuta mtu kautafuta wimbo aupendao kwa muda mrefu saana bila mafanikio
Kaenda mitandao mbalimbali bila mafanikio
Afu Leo hii kaingia Jf kitengo cha burudani
Na kuumba huo wimbo alioutafuta muda mrefu
Cha ajabu anapewa bila shida yeyote.
Kiukweli watu wote wangekuwa na mioyo kama ya Hawa jamaa

Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa

Bila shaka wangefika mbaali saana.
Wakuu wangu hapo juu
Mungu awabariki sanaa.


Ijumaa qareem wakuu wangu.

Tunashkuru sana kiongozi.

Unajua, siku zote unapomsaidia mtu basi mwisho wa siku utajikuta umejisaidia mwenyewe.

Asante sana bro.

2KOPA1.
 
Mkuu mi kuna wimbo mmoja nahisi ni sambulumaa. band una maneno .KABLA YA JUA HALIJACHWA NI TULIJADILI PENZI LETU UPYA KWA SIKU MIEZI NA MINGI MIAKA.ALAFU UPANDE WA PILI WANAIMBA .KWANI MAISHA YANA MAANA KUBWA KWETU YALIOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ndugu na kuna ule unasema kijana uwe tayari kulitumika taifa waweza patikana?
 
Habari za leo wakuu .

Nina shida na wimbo mmoja hivi jina silikumbuki vizuri ila kwenye Chorus wanaimba "Hodiiii , tufungulieni , sisi yatima twahitaji upendo :

Humo ndani yupo Irene Sanga ,Mrisho Mpoto na jamaa mmoja hivi jina limenitoka katika kundi lao la Parapanda.

Wimbo ni wahuzuni Fulani hivi kuhusu yatima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom