Intended
Member
- Sep 24, 2018
- 64
- 89
ndiyo wenyewe mkuu asante sanaUnamaanisha huu au...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo wenyewe mkuu asante sanaUnamaanisha huu au...?
Hiviiiiii......... Ukileta ombi la wimbo niutafutao, kama sipati wa kunisaidia, hilo ombi lita expire baada ya muda gani?Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Inashangaza saana
Unakuta mtu kautafuta wimbo aupendao kwa muda mrefu saana bila mafanikio
Kaenda mitandao mbalimbali bila mafanikio
Afu Leo hii kaingia Jf kitengo cha burudani
Na kuumba huo wimbo alioutafuta muda mrefu
Cha ajabu anapewa bila shida yeyote.
Kiukweli watu wote wangekuwa na mioyo kama ya Hawa jamaa
Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Bila shaka wangefika mbaali saana.
Wakuu wangu hapo juu
Mungu awabariki sanaa.
Ijumaa qareem wakuu wangu.
Kiukweli hicho mnachokifanya sio kitu kidogo mkuu.Tunashkuru sana kiongozi.
Unajua, siku zote unapomsaidia mtu basi mwisho wa siku utajikuta umejisaidia mwenyewe.
Asante sana bro.
2KOPA1.
Kiukweli hicho mnachokifanya sio kitu kidogo mkuu.
Kila lakheri.
Kaka una nyimbo ya Mike tee ft dully Sykes Sintobadilika Remix?Haya huu hapa. Enjoy
kuna nyimbo Fulani za Pauline Zongo kama Leo ninafuraha kubwa kwavile tumeonana na nyingine kama unazo mkuuHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Huu hapa man. Enjoy
Mkuu nahitaji nyimbo za mrisho mpotoShukran sana kiongozi.
[emoji120]