Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,532
- 1,118
hata mimi hii ngoma inanikumbusha mbali sanaISHI STAR SEMA NAE HQ AUDIO
Hii haina ubora
OCG FT JUMA NATURE AQWELINA MWENYE NAO ATUPIE.
Pamoja na wimbo wa juma nature -najaHabari zenu wakuu
Naomba msaada mwenye wimbo wa Dr. Leader -Suzi auweke hapa
Natanguliza shukrani zangu
Nenda youtube na upakue audio yake na app zinazopakua video ama audio za you tube.wimbo nnaotafuta nimeupata youtube na kila kona online tatizo kuudownload kila ntafutapo nakuta ni website zisizo ruhusu kudownload
wimbo wenyewe ni wa bozi biziana pere noel confiance
Sent using Jamii Forums mobile app