Kaka nimekukubali ila kuna wimbo nliusahau wa wandago nafikiri ft Ngwair Maisha ya mademu kama unao hata sasa hivi naomba Mkuu asante kwa sintobadilika remixHuu hapa man. Enjoy
Pamoja na wimbo wa juma nature -naja
Ndio huu mkuu shukrani sanaUnamaanisha huu au...?
Wakuu KIOOHabari za leo wakuu .
Nina shida na wimbo mmoja hivi jina silikumbuki vizuri ila kwenye Chorus wanaimba "Hodiiii , tufungulieni , sisi yatima twahitaji upendo :
Humo ndani yupo Irene Sanga ,Mrisho Mpoto na jamaa mmoja hivi jina limenitoka katika kundi lao la Parapanda.
Wimbo ni wahuzuni Fulani hivi kuhusu yatima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar za saa wakuu wangu.
Naomba hili jiwe la baba levo
Baba levo ft dully sykes_Yala yala
Official audio.
Natanguliza shukra.
Idimi
Kioo
Gwankaja
Nafikiri ni Snare wa ECT mwenye nao auweke huu wimboNazan ni Buff G akimshirikisha bizman kama sikosei, sikumbuki jina la wimbo ila chorus anaimba...
Nitarudi/
Nitarudi/
Sio kama nimekusahau mamaaa/
Nitarudi/
Nitarudi/
Sio kama nimekutupa mamaaa
Mwenye nao afanye msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Boss.Nitakuchekia nikiupata ntakuwekea mkuu. Thanks.
Utakufa kwa misongo ya mawazo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee wewe jamaa bhanaUtakufa kwa misongo ya mawazo mkuu
Kuna nyimbo nyingine sio za kujiendekeza kusikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
wimbo nnaotafuta nimeupata youtube na kila kona online tatizo kuudownload kila ntafutapo nakuta ni website zisizo ruhusu kudownload
wimbo wenyewe ni wa bozi biziana pere noel confiance
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo wa Mr ebbo anaimba hivi moja jumlisha moja unapata 11
2001 tuwe kitu kimoja mwenye nao tuwezeshane ili buffer zipate kazi
Kuna wimbo wa Mr ebbo anaimba hivi moja jumlisha moja unapata 11
2001 tuwe kitu kimoja mwenye nao tuwezeshane ili buffer zipate kazi
Huo wimbo hata mimi nautafuta sana, naomba mdau utuwekee tule raha!
Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.