Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Waungwana mwenye wimbo unaimba hivi masela bomba mademu bomba ndani ya weekend DAR ES SLAAM BY NIGHT JOAN KAITIKIA WALICHANA MASELA FLANI HIVI ANISAIDIE
 
kuna wimbo ulikuwa unaimbwa
"Nikiwa ndanii wapiga kelele
nikitoka njeee unalalamika
tena wasema mimi sikupendi
na ukipendwaa haupendekii"
sikumbuki mtunzi wa hii nyimbo kuwa ni Abdul Misambano au ni nani nikiupata nitashukuru sana mkuu
 
Na mwingine wa taarab sijui kaimba nani ila ni mwanamke unaimbwa hivi "mchezo gani huoo wa kurudi nyuma huoo" mimi niliombwa sana ila bado sijamjua mwimbaji mwenue kuujua tafadhali auweke jamvini tuupakue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom