Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Nisaidieni wimbo mmoja unaitwa simba anaunguruma nchini tanzania kaimba banza stone na bendi kama sijakosea ni t.o.t
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza idownload, then iplay, kama haiplay basi ni tatizo la default player yako imeshindwa kutambua audio format
Wakuu mwenye wimbo k man ft squeezer yatima hadekezwi autupie apa nimeutafuta miaka mingi Sanaa..wakuu naomba mwenye huu wimbo autupie hapa
.Ndio huu?
Ndio huo sema naona wadau wamechoka sana kurusha vitu si kama zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niliomba nyimbo ya Wandago ft Ngwair Maisha ya mademu umenipotezea na wadau wengine wakubwa kama mnayo nitupie
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa naielewa sana hiyo ngoma.. Nipo busy ila imebidi tu nikuwekee..
Poa poa naielewa sana hiyo ngoma.. Nipo busy ila imebidi tu nikuwekee..
Kumbe ushapata usjali sometime mambo yanakuwa mengi na mengi yanakuwa mambo arif.
Haina kwere...!
Hivi producer wa hii nyimbo ni naniPoa poa naielewa sana hiyo ngoma.. Nipo busy ila imebidi tu nikuwekee..
Alitengeneza Majani