Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa mdada hivi jina simjui na jina la wimbo pia siujui ila michano yake iko hivi NINA MATUMAINI SIKU MOJA UTAKUWA WANGUU
NINA MATUMAINI SIKU MOJA UTAKUWA WANGU
 

Attachments

Wakuu mwenye wimbo k man ft squeezer yatima hadekezwi autupie apa nimeutafuta miaka mingi Sanaa..wakuu naomba mwenye huu wimbo autupie hapa..
 
Back
Top Bottom