Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo Fulani ulikuwa unapigwa magic fm bolingo ameimba sijui ni mdongo wake bushoke sikumbuki jina la wimbo alikuwa anatajwa sana jina lake sijui ni ramso bushoke sina uhakika na jina hilo ni yule aliyeimba na bushoke wanashindwa lala sasa yeye ana wimbo wake wa taratibu bolingo fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu hata magic FM haifiki
 
Hiyo ngoma iliwekwa week iliyopita na Kioo nadhani. Hebu pitia post zilizotangulia....
 
Attachments

Back
Top Bottom