Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Write your reply...msaada wandugu nyimbo kadhaa za kitambo
1:ee mola _ hard blasters
2 : tupo nyuma kimaendeleo _ hard blasters
3:hili balaa _ solo thang
4: nipe gwara _ paipam soldier
5: paipam soldier ft g nako
 

Attachments

Naomba wimbo Wa unique sisters unaitwa Sikutaka ila siyo ile rmx waloimba na dudu baya
 
Kuna wimbo wanaimba "nasi tulikubali kwa maisha yote ya raha hata shida, iwe kwa dhiki magonjwa na raha tulikubali...." ni bongo fleva mwenye nayo atupie plz
Najaribu kuvuta ila haiji.. Ila wimbo nafikiri ninao!!

Hukumbuki jina la msanii??
 
1.Mbona by PNC
2.Bongo.com by TNG
3.Sauti ya gharama na ingewezekana by d knowb
4.Nilikataa by Topband
5.Niamini by Dorro ft berry black
6.Joanita by pingu na desso
Mwenye nazo aniwezeshe wakuu
 
1.Mbona by PNC
2.Bongo.com by TNG
3.Sauti ya gharama na ingewezekana by d knowb
4.Nilikataa by Topband
5.Niamini by Dorro ft berry black
6.Joanita by pingu na desso
Mwenye nazo aniwezeshe wakuu

Watakupa wadau hapo itakayokosekana utanishtua jombaa.
 
Back
Top Bottom