Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia hii site utapata nyimbo zote unazozihitaji ww.myfreemp3.netKuna wimbo wa bonho fleva unaitwa Mzee kijana sijui wameimba kundi gani nimelisahau mwenye nao auweke humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
KIOO kwa heshima na taadhima hebu naomba upekue pekue kwenye maktaba yako na unifanyie mchakato wa nyimbo zifuatazo.
1.Djojo ngonda
2.Coco madimba
3.Filandu
Zote hizo ni za Wenge BCBG toka album ya Pentagone..(yawezekana nimekosea majina utaniwia radhi).natanguliza shukurani.
Kweli umekula na nduguyo[emoji6][emoji6][emoji2]Ndio bro,,huo huo
marybaby kula flavour
Kwa heshima naomba posa ya bolingo ya mwanadada alicios theluji...nauzimia sana.
Mwenye 'ingukuwa vipi ya mwana fa'
Fina mango shoga
Msaada mwenye vile vingoma vya taarifa ya habari radio Tanzania enzi hizo naomba jamani
Na ile ya majira ya kipindi kile naomba
Na ile bomu bomu bomu eeehh hajaiona nyota ya kijani zindukaa
Msaada wapendwa