Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu mimi nimeomba wimbo wa bendi moja nimeisahau jina lkn walikuwa wanatumia mtindo wa wazee wa maghorofani. Wimbo una Sehem unaimbwa. KABLA YA JUA HALIJACHWA NI VIZURI TULIJADILI PENZI LETU UPYA KWA SIKU MIEZI NA MINGI MIAKA. naombeni wakuu ombi la tatu ili natuma kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu pole sana kwa kusubiri aisee.

Ila tatizo mojawapo linaloweza kusababisha wimbo kutokupatikana ni kutokujua jina la wimbo kiongozi.

Mtu anaweza akawa na nyimbo lakini sio zote akawa amezisikiliza au ameyashika mashairi yaliyomo kwenye wimbo husika.

Ila unapotaja jina la wimbo inakuwa rahisi kwa mtu mwenye huo wimbo aidha kwenye laptop au cloud storage ataenda kwenye alfabeti ya wimbo unaoutafuta inakuwa hapati tabu kuupata.

Kwa hiyo jaribu kukumbuka jina la wimbo itakuwa rahisi kuupata wimbo uutakao mkuu.

Natanguliza shukran kwa niaba ya wote kiongozi.

Ahsante.
 

Attachments

[emoji23][emoji23][emoji23]kitambo sana ,zile ngoma za RTD mida ha taarifa ya habari na kipindi cha michezo na majira zilipigwa na Mzee Morris Nyunyusa alikua kipofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kitambo sana, chukua hiyo ya michezo mkuu
 

Attachments

Wakuu kuna ngoma moja ya Rama D ameimba na kinanda tu bila ya midundo mwenye nayo anisaidie tafadhali.
 
kuna wimbo was mrisho mpoto na kikundi chake cha parapanda kabla hawajatawanyika, ndo nyimbo iliyomtambulisha mpoto
"salamu zangu kwako" mwenye nao
 
Back
Top Bottom