Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
"Mi ni almasi mchangani sema tu sijastukiwa.Mgodi unaotembea wajinga wanashindwa kuelewa." Mwenye hiyo nyimbo ya mwana fa jina silikumbuki.
 
Nitumie video ya banarunda na masua zote za wenge bcbg chini ya mpiana kila nikisachi napata audio pekee nitashukuru
 
Mimi natafuta Muranzniwa, Lenyalo, This is Africa na Melody, ni nyimbo zimepigwa na Pmela Nkutha wa Africa Kusini
 
Mimi natafuta Muranzniwa, Lenyalo, This is Africa na Melody, ni nyimbo zimepigwa na Pmela Nkutha wa Africa Kusini

Daaaah umenikumbusha mbali sana my dear. Acha tu.
 
Attachments

Back
Top Bottom