Chindo man nakwenda
Jamaa alikuwa mbaya sana Majani hili beat hata nyimbo za sasa hivi sijaona hata moja linaloweza fikia hii nyimboAlitengeneza Majani
Nimefulia AT FT BENJAMIN
Nyota ndogo nataka toa
Mkuu asante sana...we wakipekee mno we mtu hatar saaaanaaaaaaUnamaanisha huu au...?
Thank you mkuu
Kula kona...Manzese crew
Kuna nyimbo nyingine ya hilo kundi
Wimbo unaitwa ( RIZIKI POPOTE) Naomba mwenye nao , ntashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula kona...Manzese crew
Kuna nyimbo nyingine ya hilo kundi
Wimbo unaitwa ( RIZIKI POPOTE) Naomba mwenye nao , ntashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap nahis ni huo mkuu, fanya mchakatoHatua kwa hatua. Chapa mwendo.