nitafutie wimbo wa urafiki unaitwa mwanaisha acha dharau - kamkataa mshona viatu kaenda mkubali kaka 1 mwenye gari kubwa sana mtumba, mie nishautafuta sana bila mafanikio mpaka nataka kwenda radio tbc wanipe huo mziki tuHakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
PNC Miaka hiyo alikuwa mwizi wa kukaba vichochoroni huku Gongo la mboto.Alikuwa sio msanii wala sio mchekeshajikuna wimbo mmoja hv nahisi kaimba chris mc ft pnc unaitwa iman ni wa mwaka 2005-2006 kama skosei nautaka sana huu
Sent using Jamii Forums mobile app
PNC Miaka hiyo alikuwa mwizi wa kukaba vichochoroni huku Gongo la mboto.Alikuwa sio msanii wala sio mchekeshaji
mkuu huo mwaka nna uhakika nao alikua bdo yupo kwenye chart kimtindoPNC Miaka hiyo alikuwa mwizi wa kukaba vichochoroni huku Gongo la mboto.Alikuwa sio msanii wala sio mchekeshaji
Huu hapa. Enjoy
Mimi na PNC tumecheza wote Goms mkuu.Usibishe maana mimi nayeye ni rika moja na tunajuana kiundani undani.Hiyo miaka unayosema unakoseamkuu huo mwaka nna uhakika nao alikua bdo yupo kwenye chart kimtindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuuHuu hapa. Enjoy
Mkuu ile langa na Chid Benz imekuja nusu verse Chid Benz hamna naomba utume tne yote pls kakaNamuonaga Kinyerezi akiwa chakari chakarika aisee.
Hii life aisee. Acha tu.