unao kiongoz? maana na mm na mwaka wa sita nautafutadaaa huu wimbo nimeutafuta sana ile band ilikuwa inaitwa mass media band (kama sijakosea) jamaa ana unguruma mule si kidogo.
Mwenye huu wimbo tafadhari tunaomba
hatannaikumkambuka kama wasabato hv dio walioimba ila sijui jina la kwaya"Ni nani huyo oh atasimama kama nehemia ahubiri neno...
Shambani mwa bwana ooh kuna mavuno, watenda kazi ni wachachee.."
Zamani huu wimbo tulikuwa tunausikia KBC radio kule kijijini kwetu natamani sana kuupata tena!
usinisahau ukiupataNatafuta wimbo wa maalim ft bayo mafelo alienao
ninaoWadau mwenye Bana Beta ya Beta Musica nimeusaka sana bila mafanikio
anaitwa isack alikuw densa wa twanga pepeta kama sijakoseaKuna track hii siijui jina lake lakini
Chorus anaimba hivii
Wacha waseme wee ndo wangu girlfriend ,wacha waseme wacha wanune
Anayeijua afunguke hapa wakuu
inaoHapa ndio penyewe.
Nautafuta sana wimbo wa Hardmad- Nadhani unaitwa Tamara.
hata mm nautafuta sana huo wimbo msanii anaitwa NANI dah kitambo sanaNautafuta wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani jina la wimbo ni Gita ulikuwa anachezwa sana na kituo cha TV cha C2C enzi zile ila kila nikiutafuta siupati.
kaimba amina ngaruma wimbo unaita mapendo band african revolution tam tam ninaoWIMBO WA ALINIRUBUNI NA KUNITOSA KWENYE DIMBWI LA MAPENZI-AFRIKAN STARS(Mwijuma muumini)
wimbo unaitwa raphael jina la msanii ndio limenitokaWanajamvi natafuta wimbo flan hivi ni bongo fleva za mwanzo kabisa una mahadhi ya Kichaga, "Ni jinsi gani, ni namna gani tutafanya.........." Chorus ilikuwa majina ya wachaga " Kavishe alikuwepo, Limo alikuwepo, Marialle alikuwepo etc" Angalau Jina la wimbo na la Msanii please.
ninayoNatafuta nyimbo ya nilikutenda visivyo wa K Basil
wachomwe moto na petrol hadharaniunazungumziaje wadau wanaopenda jamiiforums ifungiwe
hardmad yupo..na juzi alkua anahojiwa EATV karud kwenye gamehuyu jamaa alipotelea wapi alikua anatisha na aina hiyo ya muziki