Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
daaa huu wimbo nimeutafuta sana ile band ilikuwa inaitwa mass media band (kama sijakosea) jamaa ana unguruma mule si kidogo.

Mwenye huu wimbo tafadhari tunaomba
unao kiongoz? maana na mm na mwaka wa sita nautafuta
 
"Ni nani huyo oh atasimama kama nehemia ahubiri neno...

Shambani mwa bwana ooh kuna mavuno, watenda kazi ni wachachee.."

Zamani huu wimbo tulikuwa tunausikia KBC radio kule kijijini kwetu natamani sana kuupata tena!
hatannaikumkambuka kama wasabato hv dio walioimba ila sijui jina la kwaya
 
Kuna track hii siijui jina lake lakini
Chorus anaimba hivii
Wacha waseme wee ndo wangu girlfriend ,wacha waseme wacha wanune
Anayeijua afunguke hapa wakuu
anaitwa isack alikuw densa wa twanga pepeta kama sijakosea
 
Nautafuta wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani jina la wimbo ni Gita ulikuwa anachezwa sana na kituo cha TV cha C2C enzi zile ila kila nikiutafuta siupati.
hata mm nautafuta sana huo wimbo msanii anaitwa NANI dah kitambo sana
 
mimi natafuta wimbo wa msaanii mmoja hivi anaitwa robi f.t kali p jina la wimbo nimesahau ila chorus inaimba sijapata kuona mrembo kama we moyoni ulio nigusa gusa natamani kuwa na we naomba unielewe baby natanguliza shukran zangu maana ni muda sana nimeutafuta sijaupata
 
Wanajamvi natafuta wimbo flan hivi ni bongo fleva za mwanzo kabisa una mahadhi ya Kichaga, "Ni jinsi gani, ni namna gani tutafanya.........." Chorus ilikuwa majina ya wachaga " Kavishe alikuwepo, Limo alikuwepo, Marialle alikuwepo etc" Angalau Jina la wimbo na la Msanii please.
wimbo unaitwa raphael jina la msanii ndio limenitoka
 
Natafuta wimbo kama ckosei uliimbwa Na ddc mlimani
Jina ckumbuki
Nakumbuka ubeti

Unalewa bila kipindi hata watoto Huwakumbuki NGUO zimekwisha Na wewe hujali ya tabu!
 
Back
Top Bottom