Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neccessary Noise ft Gangwe-Tunajirusha
Hii nyimbo nimeitafuta sana na nimeomba sana humu lakini haikupatikanaPia Q chief ft Solo Thang-Unaitwa nani
HipHop Mbili kubwa kuliko.
Naomba hizi ngoma.
1.P one black_Sema black
2.Nako 2 Nako_Bang Rmx (mikandamizo inaendelea)
Kioo
Gwankaja
Idimi
Fanyeni mambo wakuu.
Angali #6136 Utaikuta inaitwa Usinimwage ya Drez ChiefUmenilisha nanasi
Umenilisha fenesii
HII Ngoma hata mi naitafuta sana
Hebu angalia kati ya hizi ni ipi?Hii nyimbo nimeitafuta sana na nimeomba sana humu lakini haikupatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
LPW - MKE WA MTU SUMU
GANGWE MOB - LIFE YA USWAZI
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Kama sikosei wimbo unaitwa NjaloZuma zuma zuma......sikumbuki chochote zaidi ya aliyeimba ni mwanamke,nilikua mtoto sana[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app