Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahaha hapo kwa TKzee umenikosha sana man. Hao jamaa nyimbo zao tulifanyia concert la graduu mwaka 98!Naanza na hizi hapa chini. Twende kazi
Ila nimecheka zaidi hapo kwenye kwaito "tamu sanaa"