Hahaha hapo kwa TKzee umenikosha sana man. Hao jamaa nyimbo zao tulifanyia concert la graduu mwaka 98!Naanza na hizi hapa chini. Twende kazi
Mkuu mi naomba ule wa bado kidogo by banana zoroMkuu enjoy:
Ila kwenye maktaba yangu instrument yake nimeikosa.
Hio naijua ila sijui hata inaitwaje bana ila clubs wanaipenda sanaEeeh hii mikwaito inapendeza ndugu. Ila kuna mkwaito mmoja linapigwa beat tu kama saxophone hivi sijui hata linaitwaje tamu sana asee so kama yapo mengi tupia zaidi huenda nikalibahatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntumie Rompee mkuu ya daddy yankeeEnjoy!
Mkuu naomba ngoma ya Chidi - Like a movie starHaya haya haya mkuu changamkia hiyo, soma hiyooooo, soma kwenye ramani,
Ziko mbili,Natafuta instrumental flani ivi ya hip hop wanapendelea sana kuitumia kwenye freestyle battle nying but kama kunazingine unaweza kushusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni ngoma ya TNG - Bongo