Assa Kamwela
Member
- Aug 18, 2018
- 87
- 25
La werrason aliloperform akiwa zeneth ila ingawa jina la wimbo silifahamuNafkiri kuna mdau aliwahi kukwambia kuwa, hayo masebene yapo mengi kwa hiyo ingekuwa vyema ungeweka jina halisi la sebene husika ili iwe rahisi kutambua ni sebene lipi unalolihitaji aisee.
Nilishaiweka humuHio tommorrow bonge la pumbu mi pia naitaka, that was when Joh Makini was the illest! Sahivi anazingua tu
Ngoja nichekiHii like that ya TNG hamna yenye quality kubwa zaidi
Hapana aliimba Banana Zoro inaitwa Sinyorita..Mkuu@KIOO kuna wimbo wa charanga aliimba Bushoke siujui jina ila baadhi ya mashairi yake yanasema:
"Sinyora, sinyora, kweli nakupenda lakini tatizo sijui kihispaniola"
Sina uhakika na Jina kama ni "Sinyora"
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
BONYEZA KITUFE CHA "ATTACH FILES" KISHA ITAKUPELEKA KWENYE DIRECTORY YA MA FILE YA KWENYE SIMU, CHAGUA!
Mkuu@KIOO kuna wimbo wa charanga aliimba Bushoke siujui jina ila baadhi ya mashairi yake yanasema:
"Sinyora, sinyora, kweli nakupenda lakini tatizo sijui kihispaniola"
Sina uhakika na Jina kama ni "Sinyora"
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa man. EnjoyMkuu KIOO Idimi binswedi kuna hizi ngoma mbili za Prof Jize "Jina langu na " Chemsha bongo" naomba mnisaidie hizi wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa manThanks for this major TBT bro! Nainjoy sana hizi beats za kitambo. Kuna ile "machoni kama watu" ndio ilikuwa inafuatana na hii kipindi hiko nipatoe nakala kama unayo bro
Ntumie na ngoma ya Maunda Zorro_ Nataka niwe wakoHuu hapa man