Naomba Mwenye wimbo wa Ya Leo Kali wa Wachuja Nafaka ya kina Juma nature enzi hizoo..nikumbukie kidogo..natanguliza shukrani
 
Wimbo wa gospel nadhani aliimba Fanuel Sedekia, akizungumzia kisa cha mfalme Nebkadneza kuwatupa watu 2 kwenye shimo la simba ila hawakuliwa na simba hao. Nakumbuka kipande hiki: "Je, hatukuwatupa watu wawiiili! Mfalme aliuliza, Nebkadneza kauliza.......!" Nautafuta sana wimbo huu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…