blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
mkuu vipi? mbona kimya!!Mie ninazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu vipi? mbona kimya!!Mie ninazo
Oi nambie manmkuu vipi? mbona kimya!!
Daaaah, umenigusa mkuu! Huo huo, nimeusakaUnaitwa Marafiki uliimbwa na Chuchu sound..ndani kuna Mao Santiago, Joniko flower, etal..ilikua hatari sana enzi hizo..nami nautaka pia.
Daaaah, umenigusa mkuu! Huo huo, nimeusaka
Mno huko yourube bila mafanikio
Huo hapo kaka kazi kwako..enjoy!Daaaah, umenigusa mkuu! Huo huo, nimeusaka
Mno huko yourube bila mafanikio
Hii hapa mkuuNatafuta ile tune inayopigwa na brass band pindi Rais akiapisha mawaziri, mabalozi au viongozi wowote.
pia hupigwa sana kwenye sherehe na dhifa za kitaifa.
Mkuu hata mimi naihitaji ukipata tafadhali una-tag. Ile tune hata kwenye mahafali ya vyuo vikuu huwa inapigwa.
Mwenye do for love 2pac plz aweke hapa
Natafuta wimbo wa TID feat GK unaitwa Tutakukumbuka.
Ikiwa audio itapendeza zaidi
Nash mc, wimbo tabia,
Aiseeee nausaka bila mafanikio
upo youtube nimeshauweka huko nyumaNatafuta wimbo wa
chelea man-nipende kama nilivyo msela
umesha tumwa humu cheki page za mwanzoniKuna wimbo simkumbuki jina aliyeimba ila kiitikio kinaimbwa hivi "sio kwamba sitaki demu, ila sijaona mwenye sifa uzuri wako ulionao malaika wangu" ..... naomba unisaidie kama unaweza upata.
Free soul Grace matata