Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Unaitwa Marafiki uliimbwa na Chuchu sound..ndani kuna Mao Santiago, Joniko flower, etal..ilikua hatari sana enzi hizo..nami nautaka pia.
Daaaah, umenigusa mkuu! Huo huo, nimeusaka
Mno huko yourube bila mafanikio
 
Kuna wimbo simkumbuki jina aliyeimba ila kiitikio kinaimbwa hivi "sio kwamba sitaki demu, ila sijaona mwenye sifa uzuri wako ulionao malaika wangu" ..... naomba unisaidie kama unaweza upata.
umesha tumwa humu cheki page za mwanzoni
 
mkuu natafuta wimbo mmoja siujui lakini ni zilipendwa na mtu "analalamika kuwa amekatwa kichwa, amechunwa ngozi, na ngozi imewambiwa ngoma"
 
Vipi nyimbo za Mtudumbe Group 'kazi ya Jeshi ugangamale'. Aziz Nyapinyapi na Mtudumbe Group?
 
dah kuna wimbo unaitwa Funga zipu wa juma nature na abbas dogori yaan cjui ntaupata wapi nmeutafuta sana youtube sijauona mwenyenao anisaidie tafadhari
 
Back
Top Bottom