Haya. Huu hapa
Shukrani sana afisa, nipatien na Akudo Impact - Mapenzi kitu gani...ile nyimbo ya kwanza ya Christian Bella papaa ya masauti. Nikipata ya 320kbp itakuwa hatari fayaaa!!!
 
Shukrani sana afisa, nipatien na Akudo Impact - Mapenzi kitu gani...ile nyimbo ya kwanza ya Christian Bella papaa ya masauti. Nikipata ya 320kbp itakuwa hatari fayaaa!!!

Unamaanisha yako wapi mapenzi mkuu...?
 
Nyimbo ikiwa chaf huwa siinjoy naona inakera tu, nina player inaitwa selenium nimeitia eqaulizer na earphones nzuri inakita kama subwoofer

Mi natumia Poweramp ila hujasema ni wimbo gani huo unaousemea...?
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…