Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ile track ya joanita, nilipoona ina mb 2.9 nikahisi labda ni zile za ku convert youtube!Mi natumia Poweramp ila hujasema ni wimbo gani huo unaousemea...?
Hahahahah hii inabidi ipigwe kwenye kampeni ijayo ya jiwe! Badala ya hatunywi sumu hatujinyongi!!!Natafuta pia wimbo wa bongofleva wenye maneno, 'Imani imetoweka umebaki unyama, unyama unyama, imani imetoweka hivi sasa usalama, hakuna hakuna' nadhani Alicom ameshirikishwa
Asante sana. Ntakupa mwanangu wa pili
Ilikuwa ile track ya joanita, nilipoona ina mb 2.9 nikahisi labda ni zile za ku convert youtube!
naomba lyrics za 'the last time we made love' wa Tanya Blount
naomba lyrics za 'the last time we made love' wa Tanya Blount
Hahahahah hii inabidi ipigwe kwenye kampeni ijayo ya jiwe! Badala ya hatunywi sumu hatujinyongi!!!
Nafikiri utakuwa unamaanisha huu??Wadau natafuta wimbo unaitwa Ambula wa Madilu System, msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ras lion umasikini huu
YP & Y Dash - Shamsa
"Hukunipenda me ulipenda pesa,ungenipenda me usingejali shida "