Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Luna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao

Sent using Jamii Forums mobile app
huo aliimba Top C miaka hiyo...mwenyewe nimeutafuta bila mafanikio
 
Kuna ngoma ya banana inaitwa bado kidogo. Kama unayo naomba nisogezee mkuu
 

Attachments

Attachments

Niishi vipi nikae nani hapa hapa duniani moshi wa pilipili machoni chozi la damu mbele sioni ni kiitikio cha wimbo jina la msanii pamoja na Nina la wimbo sikumbuki ila Saudi inafanana sana na voice wonder na q chief kipindi hichoo sijui ni nani wimbo wa huzuni msaada mwenye nao atupie humu tuupakue wana jamii forums
 
Back
Top Bottom