KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Naomba wimbo wa mtoto idi kazua balaa. Wa juma nature
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wimbo wa mtoto idi kazua balaa. Wa juma nature
Dah! Ngoma za Mwana FA Ndo Hamna kabisa Wadau
Mkuu hiyo ya kwanza ni ya guitar..Nilizonazo ni hizi tu mkuu...!
NAS ft DARMIAN MARLEY-saabal
Daaaaah, mkuu umetisha zaidi ya njaa aisee. Umefanya weekend yangu iishe vyema sana aisee.
Salute sana mkuu.
Halaf kuna wimbo mmoja hivi wa kitambo kidogo ni mdada wa Kenya unaimba hivi mkuu...
"Songa hapa nikueleze yalo moyoni, tukifika ukingoni, tutarudia mwanzooonii... ". Ushaujua mkuu nautafuta sana aisee.
Mkuu mbona hii format hai-play kwenye simu yangu aisee...!
Jaribu hizi mkuu...!
jamani msaada huu wimbo please mwenye nao anijaalienatafuta wimbo unitwa vyote vyangu umeimbwa na war will ft tid naomba alio nao anitumie whatsapp 0768389949 ntashukuru sana wadau
Sent using Jamii Forums mobile app