Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Shusha na hizi mkuu.zipo mkito katika account yake lakini mkito wamekua na mambo yakiwaki sana kwenye kujiunga na kununua.
1.mr ii-busara
2.mr ii ft balai-wabongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ile nyingine (original) kiitikio chake kinaimba 'hili ni wimbi la njaa, hela ya bia hatuna sie tunakunywa chang'a, uzushi uzushi mwanangu hatuuzungushi, kilichobaki tukomae tu tuwe wabishi'
Sent using Nokia 6
 
Nifanyie mpango wa nyimbo za bi kidude.
Limekufikia isikose
 
Unatumia simu gani na player gani kuskiliza hizo nyimbo aisee...?

Una-save kwenye simu au memory...?
Sebene la werrason zenith na ukisikiliza radio likiisha tu ilo sebene wanaonganisha na sebene lingine hapohapo yaaani kama unalewa ndio utazidi agizia bia......
Nipm namba yako nikurushie maana nilirekodi audio yake hapa nashindwa kuiweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom